House for rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


House Of Three Bedrooms, Sebule na Jiko 700k🏠
Specifications:-
• Nyumba ipo Maeneo ya Kijitonyama📍
• Nyumba ina Vyumba vitatu Chumba Kimoja Ni Master bedroom
• Jiko Lake Zuri Kabisa
• Full Air Conditioner & Heat ya Maji Bafuni
• Haipo Kwenye Fence, Parking ni Ya Nje panaulinzi📍
• Umbali Kutoka Barabarani ni dk 5
Payment Conditions:-
• Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 700k✅
• Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita
Service Fee:-
• Gharama Za Kuona Nyumba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
• Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
• 0744701813 Normal/WhatsApp📲