House for rent at Kijitonyama, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa vyumba viwili
Vya kulala ,Kimoja master bedroom ,public toilet ,jiko kumbwa
Bei 500,000/= kwa mwezi kodi miezi6 tu
Nyumba ipo KIJITONYAMA
Huduma maji dawasco umeme Mita yako unajitegemea