House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


SINGLE ROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA, CHOO & BAFU, MAJI DAWASA YAPO
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, ILA PARKNG SPACE HAKUNA, LUKU NA CHOO VYA KUSHEA WA 4
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX500/=
*KODI 60,000/= KWA MWEZI
______________________________
SERVICHAJ ELFU 10
CONTACT
0742260844
0657384670