House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA TEMBONI KALI SANA HII NYUMBA
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X 6
🏘️APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 250,000/= ×6
‼️PIA KUNA CAUTION MONEY 💰 YA KULINDA NYUMBA UKIONDOKA UNARUDISHIWA AMBAYO NI SH 200,000
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000/=
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
What saapp number ⬅️ 0689-547258