House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X3)KIMARA TEMBONI 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
*ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MITATU NA KUENDELEA.*
*#CHUMBA KIKUBWA CHA KULALA*
*# SEBURE KUBWA*
*# CHOO KIZURI CHA NDANI, SIO MASTER*
*#UMEME METER YAKE*
*#MAJI DAWASA METER YAKE NA YANAFLOW NDANI*
*#TILES*
*#GIPSUM*
*# SLIDE WINDOW*
🏘️ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA. TSH1000/=*
*"KUMBUKA" "NYUMBA HIZI ZIPO KWENYE FENCE, LAKINI SIO FENCE YA KULAZA GARI, NA USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA* 🏘️
*SERVICE CHARGE 15K*
*MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA🇹🇿 🏘️*
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024