House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
Location. KIMARA SUKA
200,000/=
====
Vyumba Viwili vya kulala
Kimoja master
Sebule wastani
Choo cha wageni nje
Sehemu ya jiko
Ndani ya fence
Gari mpaka getini Safi kabisaa
Umeme meter yako
Maji yanaflow bill 2
Umbali KM 1.8
Usafiri
bodaboda 1000
Bajaji zipo
===
KODI TSH 200,000 Kwa mwezi ilipwe miezi 6
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 ๐
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258