House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
‼️INAKUWA WAZI TR 1/5/2024
KUONA NA KULIPA RUKSA KABISA
---------
BEBA PESA USIJE KUTALII HII SI YA KUKOSA!!
INATAKIWA KODI YA MIEZIX6 ‼️
KAMA MTEJA ANA CHINI YA MIEZI 6 ASIJE KUEPUSHA USUMBUFU‼️
APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANAA!!
KIMARA SUKA
CHUMBA CHA KULALA MASTER
SEBULE
JIKO LA KISASA
UMEME INAJITEGEMEA MITA YAKO
NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI NA JIKONI
BEI 150,000 KWA MWEZIX6
NDANI YA FENCE PARKING IPO
UMBALI KM 1.5 KUTOKA KITUONI BAJAJI ZIPO 700 UKISHUKA TU DK 4 UMEFIKA
KUONA NYUMBA ELFU 15 ⬅️
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈