House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA PUBLIC
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
SEHEMU 'B'
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 200,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII UTALIPIA PESA SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA YA UDALALI
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37