House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KUBWA INA PANGISHWA 200K
LOCATION KIMARA STOP OVER
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANAFLOW NDANI
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10 KWA MGUU
IPO NDANI YA FENSI ILA HAILAZI GARI
KODI 200,000X6
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15,000/=
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number ⬅️ 0689-547258