House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NAIFAULISHA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
‼️ INAYOPANGISHWA NI YA FLOOR YA PILI GOROFANI
BEI NI 250K X 3 TU!!
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
🎤 APARTMENT HII NAIFAULISHA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI
_______