House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #450k
===
Vyumba 3 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
===
Kodi 450,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1 bodaboda 1000 panatembeleka
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon, iliyopo wazi niyajuu first floor
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
#0714335450
#0714335450
__
PIGA SIMU