House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA STEND KIMARA MWISHO BAJAJ ZIPO
_____________________________________
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
______________________________________
SIFA YA NYUMBA
nyumba hii
Ina vyumba viwilli vya kulala Haina master
Ina pabrck ya ndani
Sebule kubwa na jiko zuri lipo ndani
Inajitegemea umeme NA maji
Nyumba ipo ndani ya fensi
Ina mazingira salama sana
_____________________________________
KODI KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki mbilli tuuu
(200,000)
X 6
Mteja piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 0784810004
0713545127 WhatsApp