House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###200K
.
.
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 6 KUTOKA MOROGORO ROAD.
.
.
SIFA ZAKE =
##########
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
.
.
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
.
.
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
.
.
NOTE =
KWENYE HII NYUMBA KUNA HELA YA TAHAZARI ( CAUTION MONEY ) KODI YA MWEZI MMOJA NI MBALI NA KODI YA NYUMBA.
.
.
CONTACT
0742260844
0657384670
.
KIUMBE REAL ESTATE AGENT
.
KAZI NA UAMINIFU
.
Epuka matapeli fanya kazi na dalali mwenye ofc na aliesajiliwa