House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Mpyaaa mpyaa
KODI NI 100,000 X 3
NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO (DSM)🇹🇿
CHUMBA MASTER KUBWA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 24HRS
NYUMBA NDANI YA FENSI KUBWA UNALAZA GARI
NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA2 BAJAJI
700
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿
Kwa bi lunyungu msikiti mdogo
USAFIRI UPO NI BODA 1000 BAJAJI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
KODI NI TSZ 100000/= KWA MWEZI
KWA MAELEZO ZAIDI
PIGA SIMU 0659336751 wsp 0786085637
NB:USISAHAU PESA YA TAADHALI 50000
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=