House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###120K
---------------------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD ##USAFIRI WA BODABODA NI ELFU MOJA ###BAJAJ NI TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 8 HADI KWENYE NYUMBA.
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI MITA MNASHEA WAWILI.
HAINA FENSI MAZINGIRA MAZURI GARI INAFIKA MPAKA HAPO USALAMA UPO.
------
KODI NI LAKI 120,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------------
NOTE =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKRISTO TU ,
NA KODI NI MIEZI SITA HAIPUNGUI CHINI YA HAPO
CONTACT
0742260844
0657384670