House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X6)KIMARA MWISHO DAKIKA TANO (5) KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO KARIBU KABISA NA KITUO CHA MWENDOKAS
UMBALI WA DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD AMNA KUPANDA BAJAJI BAADA YA KUSHUKA KWENYE KITUO CHA MWENDOKAS
IPO WAZI KABISA NI YA KUJA KULIPIA NA KUAMIA LEO LEO
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA MWISHO
INA TILLES GYPSUM SAFI DRISHA SHATA MAZURI YENYE HEWA UMEME 2 NA PANA SABMITA NA MAJI YAKO MWENYWE YANAFLOW NDAN
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453