House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) KIMARA MWISHO
---------------------------------------------
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 6 KUTOKA MOROGORO ROAD
-------
SIFA ZAKE =
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
TILES
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
------------
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
--------
NOTE =
KWENYE HII NYUMBA KUNA HELA YA TAHAZARI ( CAUTION MONEY )
Contact:
0654101710
0787205300