House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA KODI 200,000X6
KIMARA STOP OVER
BARABARA ZEGE
CHUMBA MASTER SEBULE NA BARAZA KUBWA SANA LIPO KAMA JIKO
UMBALI KM 1.5
FENS ITAJENGWA
NA PAVING INAWEKWA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
0712656027