House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM INA PANGISHWA MPYA MPYA
IPO KIMARA SUKA(DSM)๐น๐ฟ DAKIKA.15 KWA MIGUU KWA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA LAMI
USAFILI UPO WA BODA BODA ELFU 1000/=
SIFA ZAKE HII MASTER
_________________________
โขCHUMBA KIKUBWA
โขNA CHOO CHAKE NDANI
โขPUBLIC TOILET IPO NJE
โขMAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
โขDILISHA WAVU KWA SASA
โขUMEME SUBMETER YAKO
โขTILES SAFI
โขGYPSUM BOARD
โขNYUMBA HAINA FENSI
โขPARKING SPACE AKUNA
SERVICE CHARGE NI TSZ15,000/=
KODI NI TZS 120,000/=X"5"
NB NYUMBA ZINAKAMILIKA TH 07/01/2025
CONTACT US:0712656027
WHATSAPP :0712656027