House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 150K X4,5,6
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE PIA UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO USAFIRI UPO UHAKIKA
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
O677370515
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI 150K