House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


WAI MAPEMA HII SI YA KUKOSA KABISA KODI NI 170X3 TU
NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
KODI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
INAKUA WAZI TAR 05/04/2024 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NA CHOCHOTE NI RUKSA
SIFA ZAKE
########
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
AINA PARKING
GARI INAFIKA MPAKA GETIN
MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU MWENYE NYUMBA HAKAI APO
UMBALI KM 1,5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA BARUTI USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 TU BODA ELFU MOJA TU MPKA NYUMBAN
SERVICHAJ ELFU 15 . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087