House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM
INA PANGISHWA IPO KIMARA MWISHO(DSM)🇹🇿 KM.2 KUTOKA LAMI USAFILI UPO WA
PIKI PIKI ELFU 1500/=
BAJAJI TZS 700/=
NOAH TSZ 500/=
SIFA ZAKE HII MASTER
_________________________
•CHUMBA KIKUBWA
•NA CHOO CHAKE NDANI
•MAJI DAWASA YANA FLOW
•SLAIDING WINDOWS
•UMEME SUBMETER YAKO
•TILES SAFI
•GYPSUM BOARD
•NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
•PARKING SPACE IPO
SERVICE CHARGE NI TSZ15,000/=
KODI NI TZS 120,000/=X"6"
CONTACT US:0712656027
WHATSAPP :0712656027