House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 200K MALIPO MIEZI X 6
LOCATION KIMARA KOROGWE ๐ KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2
BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 10
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU UMEME MITA YAKO MAJI YANA TOKA NDANI
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
PAVING BLOCK PARKING KUBWA
KODI 200000 MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA GHARAMA ZAKE SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIA NYUMBA๐ค