House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 29/02/2024
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
#PAVING
===========
BEI NI 250,000/= X 6
============
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI
APARTMENT HII KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
============
CALL 0683234124
0718367179