House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10
KUTOKA STEND STOP OVER
PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_____________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii ni chumba sebule master bedroom
Jiko hakuna
Nyumba hii ipo ndani ya fensi
Pazuri Sanaa
Maji yapo chooni yanatoka vizuri
Umeme piya upo
Mnashea wawilli 2 tuu
_____________________________________
KODI YAPANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu
(150,000)
X 6
Kwa mawasiliano zaidi piga simu usitume message uta chelewa kujibiwa
____________
CALL 0779646072