House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 280,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI HII NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 280,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASI HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA SH 500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJ
0773700963
0753 989554
=====
A