House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YAPO NJE 
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, LUKU YA KUSHEA WA 2
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 80,000/= KWA MWEZI 
________________________________________________________
NB:HIZI NYUMBA NI MPYA KABISA, ZITAKUWA TAYALI KUINGIA TRH 1/10/2024.., AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO. KUONA NA KULIPA RUKSA 
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 
======================
*WSP:0620_436331 
*CALL:0758_602157 
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________




















