House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


HAYA MAZINGIRA YA NYUMBA ILIPO SO KAM UNAPESA NJOO CHAPU
HABARI NJEMA WAKAZI WA DAR HAYA UNALETEWA CHUMBA AMBACHO KINA KILA KITU
LOCATION:KIMARA STOPOVER UMBALI WA KM 1.3 AU DK KUTEMBEA
INA NJIA MBILI UNAWEZ PITA KIMARA MWISHO MTAA WA KISHUAAA HAPA
CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA KIASI*(STUDIO ROOM)
BEI NI 150,000×6 PUNGUZO MIEZI FIKA SITE
MAJI UNAJITEGEMEA
UMEME UNAJITEGEMEA
MLINZI WA KAMPUNI
USAFI UNAFANYIWA KUNA GHARAMA NDOGO
PEVING BLOCK
GETI
GOROFANI
*INAKUWA WAZI TAREHE 10.4.2024 MAPEMA SANA...*
#0785889413
#0785889413