House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Mpyaa mpyaa mpyaaa
Nyumba Kali sana ipo MTAA mazuli inapangishwa
Vyumba v2 kimoja master sebule public toilet na jiko
Luku na mitar ya maji inajitegemea
Zipo appointment 3 kwenye compound moja mbili ndio zipo wazi
Kod 450000 kwa 400000 malipo miez 6
Nyumba ipo kimara mwisho km1 tuu boda 1000 bajaji unashukia getin
Galama za kupelekwa kuona nyumba 15k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
##0655256419