House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10
KUTOKA STEND #KIMARA_MWISHO PIKIPIKI ELF 1 ukipenda
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMME LIPIYA NYUMBA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii ni chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira salama sana
KODI YA PANGO
________________
BEI NI (250,000)
X 4
kwa maelezo zaidi Piga simu
CALL #0712348316Whtsp
CALL #0769680796β