House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) KIMARA BARUTI
NYUMBA KUBWA NZURI YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO LAKE INAPANGISHWA NA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#CAR PARKING
BEI NI 400,000/= × 6
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA IPO KIMARA BARUTI
NI UPANDE WA BARABARA YA KUELEKEA CHUO KIKUU NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/06/2024
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300