House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
(250,000X6)KIMARA TEMBONI DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA IPO JIRANI KABISA NA BARABARA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
#PAVING
BEI NI 250,000\/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI
APARTMENT HII KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453