House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI
300,000/=X 6๐
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6๐ TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KU LIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 BAJAJI 1000๐ BODABODA 1000 ๐NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE nyumba
________________
CALL 0779646072
0784810004
0713545127 WhatsApp