House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
-------------------
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#CHOO KIZURI CHA PUBLIC
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 300,000/= X 6
SEHEMU 'B'
-------------------
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#PARKING KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
-------------------------
BEI NI 200,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
--------------
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
----
USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258