House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Nyumba nzuri ya kisasa Inauzwa milioni 180 maongezi kidogo yapo
Location kimara korogwe mwendo kasi km 2 usafiri bajaji 500
Nyumba inaukubwa wa eneo square mita 700
SIFA ZAKE
____________
#vyiumba 3 kimoja master
#Sebule kubwa sana
#jiko kubwa sana lenye makabati
#pablick toilet ndani
#maji umeme vyote vipo
#Nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
Nb: Nyumba inampangaji analipa kodi lak 500000 kwa mwezi
MAWASILIANO 0746 433 854