House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa KIMARA BARUTI dk 8
Stand alone
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA KIMOJA
MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINING ROOM
JIKO LA KISASA
PUBLIC TOILET
LUKU
MAJI YANA FLOW NDANI
FULL TILLES, GYPSUM & ALUMINUM
PARKING YAKUTOSHA
Kodi 500,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.