House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
INAFAULISHWA ILIPWE 250,000X5X6๐
APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MUJINI
APARTMENT NZURI MPYA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 250,000 X5X6๐
๐ฅ APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA NA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#RESERVE TANK KUBWA
#PARKING KUBWA
#PAVING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2 BAJAJI 1000
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37