House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(120,000 × 6) MASTER BEDROOM KIMARA KOROGWE KILUNGULE
APARTMENT INAPANGISHWA ###120K
---------------------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD ##USAFIRI WA BODABODA NI ELFU MOJA ###BAJAJ NI TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 8 HADI KWENYE NYUMBA.
SIFA ZAKE =
MASTER KUBWA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI MITA MNASHEA WAWILI
HAINA FENSI MAZINGIRA MAZURI GARI INAFIKA MPAKA HAPO USALAMA UPO
------
KODI NI LAKI 120,000 /=
KWA MWEZI
-------------
NOTE =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKRISTO TU , NA KODI NI MIEZI SITA HAIPUNGUI CHINI YA HAPO
ZINGATIA =
SERVICE CHARGE NI SHILLINGI 15,000
DALALI MALIPO MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO CHUMBA HAINA MJADALA
Contact:
0654101710
0787205300