House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







INAFAULISHWA HAPA NDUGU MADALALI WAHI SASA
NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 200,000X6 WAHIHI🏃🏃🏃➡️🏃➡️
UMBALI WA KM 1 BODA 1000 AU UNAWEZ TEMBEA DK 15 KWA MIGUU
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA WAHI
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA MASTER
-JIKO NJE(PEMBENI)
-UMEME WAKO
-MAJI UNAJITEGEMEA
-PEVING BLOCKS
-FENSI PARKING KUBWA
-PUBLIC TOILET NJE
-NYUMBA MPYA YAN MPYAA
-WAPANGAJI WA TANO TUU SEHEM NZUR
BEI NI 200,000 ILIPWE MIEZI SITA HAPA
SIMU
0677445508