House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 ร 6) Chumba master na Sebule #KIMARA_KOROGWE
NI APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISAA UNAZINDUA MWENYEWE
ZIINAPANGISHWA
.
LOCATION:KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
.
BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE NDG MTEJA WANGU
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
SIFA ZAKE
#########
#CHUMBA_MASTER
#NA_SEBULE_KUBWA
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NYUMBA NZURI SANA
.
NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PAVING BLOCKS SAFI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300