House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANAA NA MPYAA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
150,000X4 NAKUENDELEA ๐
KIMARA MWISHO
IPO KM 2.5 KUTOKA KITUONI MWENDOKASI
BAJAJI 700 DALADALA 600
BODABODA 1,500
NI CHUMBA MASTER
SEBULE
SEHEMU YA KUPIKIA
Umeme unajitegemea na maji submeter
Nyumba ni MPYA KABISA zimebaki mbili tu
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258