House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
SIFA ZAKE
#########
CHUMBA, SEBULE, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI#HAKUNA MASTER BEDROOM
ZIKO 5 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, NOAH700
KODI 150,000/= KWA MWEZI
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
CONTACT
0742260844
0657384670