House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(350,000 ร 6) KIMARA SUKA
APARTMENT NZURI MPYA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII NDIO IMEBAKIA
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 350,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300