House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







WAHI CHAPU CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA MAKABATI
KODI 200,000X6
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
LOCATION: KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITA KIMARA MWISHO
UMBALI KM 2
BAJAJI 700
BODA 1000
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710