House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(150,000X6)KIMARA KOROGWE
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
💥💥CHUMBA MASTER SEBULE CHOO JIKO INAPANGISHWA 150K TU
💖SIFA ZAKE
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE NZURI
JIKO ZURI
MAJI DAWASA
UMEME LUKU SUBMETER
GYPSUM SAFI
MADIRISHA NYAVU SAFI
💝KATIKA NYUMBA HII MPANGAJI YUPO PEKE YAKE NYUMBA INAJITEGEMEA
🌍🏘NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI PIA UNAWEZA KUFIKA KWA KUPITIA UBUNGO RIVERSIDE
📢KODI NI 150K × 6
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU HAMSINI TU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
🛺USAFIRI BAJAJI 500/= NA UKISHUKA DKK 3 UPO NDANI
🤍SERVICE CHARGE KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI 15,000/= TU NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KIASI SAWA NA KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO
MAWASILIANO
0716223412
0683597453