House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI
NI MASTER NZURI SANA
KODI 100k KWA MWEZI MALIPO MIEZI 5 NA KUENDELEA
UMEME SAB MITA
MAJI NDANI..
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM .2.5
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI TZS 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
O677370515