House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIMARA KOROGWE 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI MPYA KABISA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#LUKU INAJITEGEMEA YENYEWE
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#PARKING KUBWA
#CCTV CAMERA
BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
💥NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453