House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INA PANGISHWA KIMARA KORGWE
KUONA NA KULIPIA LUKSA KABISA ENDAPO TUKIMKUTAMUHUSIKA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI BUSTANI SAFI MZINGIRA MAZURI NYUMBA INA PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 15 kUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 240,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
NOTE
ELA YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SERVICE CHARGE 15000
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
Call
0627977383
MR ROONY TZ