House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 400,000/= X 6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
BEI NI 400,000/=X 6
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH ELFU 1 TUU
NYUMBA MPYA KABISA NA KWENYE FENSI MOJA ZIPO APARTMENT MBILI TUU NA ZIPO MBALI MBALI
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.