House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
*NYUMBA HAIKO NDANI YA FENSI, ILA MAZINGIRA MAZURI NA SALAMA, LUKU YA KUSHEA WA 3 NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, NOAH700/=
*KODI 110,000/= KWA MWEZI
_____________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
======================
*WSP: 0679447338
*CALL: 0679447338
======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_____________________________